Friday, 29 December 2006

Watanzania wanapokutana

Mwaka huu unaokwisha kuwekuwepo na matukio mbalimbali yaliyoweza kukutanisha watanzania toka zaidi ya mji mmoja.. hapa chini ni mojawapo ya matukio hayo

5 comments:

SIMON KITURURU said...

Kali hii!Ilikuwa wapi hii?

kibunango said...

Ilikuwa Tampere,ni Sherehe ya ubatizo wa mtoto wa Monte

SIMON KITURURU said...

Poa !Nilikosa hii!

George said...

Bomba Kichizi Kibunango.....
... Someni jama someni....
Ha ha ha

Egidio Ndabagoye said...

Si utani,palikuwa hapakili hapo.Ushauri wa mama nimeusikia.