Wednesday, 11 April 2007

kibunango

Asante kwa kunikaribisha katika blog hii matata yenye jicho katika vihoja vitokeavyo kisiwani Unguja , napenda kwanza kukutakia safari njema uingereza, na vilevile kutoa ahadi yakujitahidi kucompose as many articles as possible tuko pamoja.
Guidance

2 comments:

SIMON KITURURU said...

Al Tunes poa umeingia

kibunango said...

Karibu sana Al Tunes katika kuendeleza kona hii ya Vituko vya Zenj...