Wednesday, 8 August 2007

Safarini Suomi...

Baada ya kuona Vituko kibao vya wazenj hapa Uk... takribani kwa miezi minne sasa, Nageuza safari na kurudi kijiweni huku nikiwa na rundo la vituko vya wazenj hapa uk... tokea wazungu wa unga, hadi vitangi, wasomi na wafanyabiashara, wazazi hadi wajane... ili mradi ni vituko kede kede.. nikipata nafasi nitakuwa nawapasha baadhi ya vituko vyao...

3 comments:

Aliko said...

karibu kijiwe

SIMON KITURURU said...

Pole Mkuu kuhusu Mzee Mwakanjuki.Tuko Pamoja!

kibunango said...

Shukrani Kaka, aidha hali ya Mzee inaendelea vizuri...