Thursday 20 September 2007

TV Zanzibar(TVZ): Kuondokana na Analogy kwenda Digital



Luninga ya SMZ imeingia mkataba na serikali ya Japan ambapo, Luninga hiyo itafanyiwa malekebisho ya hali juu toka mfumo wa sasa wa urushaji wa matangazo wa Analogy na kwenda kwenye mfumo wa Digital.

Kwa mjibu wa Mdau hapo juu kwenye picha, matengenezo hayo yanategemea kuanza mapema 2008. Mfumo huu wa digital katika Tanzania upo kwenye TVT, Star TV huku ITV na Channel 10 wakiwa semi digital. Zaidi Wachina nao wamekubaliana na serikali ya mapinduzi zanzibar kuvungua kituo kimpya na cha kisasa zaidi cha Tv. Kituo hicho kinatazamiwa kujengwa katika maeneo ya Masingini. Tv hiyo itakuwa ni full digital na yenye nguvu kubwa zaidi kuliko hiyo ya sasa (TVZ).

1 comment:

Aliko said...

kibunango hii move ni kiboko lakini inacost mihela kwamaana zile analog based tvs lazima zitupwe wapi? enviromental hazard! pili digi boxes lazima zinunuliwe kwa pesa gani walionazo wananchi?? hapa Finland kunawananchi walipeleka matv yao nje ya ngazi ya bun ge juzi walivyochange hii maneno maanke ni mambo ya flatscreen plasma tvs, haya maendeleo yatautoa macho sikuzijazo