Monday, 5 November 2007

Safarini South Africa

Wapenzi wa kona hii, napenda kuwapa taarifa kuwa nitakuwa safarini South Africa kwa masuala ya kifamilia. Kwa wapenzi wa blog mliopo South napenda kupiga hodi rasni. Kwa muda wote ambao nitakuwepo South nitaendelea na blog hi kwa kuwapa Uhondo,visa na ujumbe wowote ule kuhusu zenj africa ya kusin,

4 comments:

Anonymous said...

Haya kaka safari njema!!!

kibunango said...

Safari ilikuwa njema na nimefika salama

Aliko said...

kamanda usisahau ile shughuli tulioahidiana ni muhumu si kitoto

kibunango said...

Natumai imeshatekelezwa