Thursday, 19 March 2009

Movie...Hobbie iliyokwisha huko Zenj


Jengo hili sasa halitumiki tena kama jumba la Sinema..!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

je unaweza kusema linatumika kwa nini. au linatumika kama makumbusho tu vp?

kibunango said...

Sasa lina shughuli nyingi, ikiwemo supermarket. Infact wenye jumba hilo wameliuza na sasa limebailishwa matumizi yake ya awali.