Tuesday, 7 April 2009

Leo ni siku ya Karume


Watanzania leo wanaungana na ndugu zao wa Zenj katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya A.Karume rais wa kwanza wa Zanzibar na Muasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nawatakia wanaZenj waote pia WaTanzania wote mapumziko mema. karibu kibarazani kwangu pia

EDWIN NDAKI said...

RIP karume..wanaharakati wa kukumbukwa barani afrika..