Saturday, 30 May 2009

Ajali ya Mv FatihTunasikitika kuwatangazia ajali mbaya ya meli ya mizigo (Mv. Fathi ya kampuni ya Seagul mali ya Bwana Said Mbuzi) ambayo ilikuwa ikitokea Zanzibar kuja Dar. Inasemekana kuna idadi kubwa ya watu waliopoteza maisha

Source: Jamii ForumsAll pictures by Kibunango

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Napenda kuchukua nafasi hii na kuwapa pole wato wafiwa na pia Zanzaibar. Mungu azilaza roho za marehemu pema peponi.

Born 2 Suffer said...

Poleni sana ndugu kwa msiba huu yote mungu anapanga.

mumyhery said...

Poleni sana kwa msiba

Kaziyabure said...

Bwana Said Mbuzi amejitokeza na kumtupia lawama Mustafa Jumbe na Serikali kiujumla kwa Fitna wanazomfanyia. Anadai atahamishia biashara zake Mtwara ambako anaamini atapokelewa kwa moyo mkunjufu. KISA ameambiwa atalipa gharama zote!

kibunango said...

Hiyo ni News, Jamaa ni mlalamishi sana, itabidi nimbandike!