Tuesday, 26 May 2009

Bia, Konyagi na Sigara


Zenj unaweza kwenda baa na Konyagi yako ulionunua katika duka la ulevi na kuinywa hapo baa pasipo kupata usumbufu toka kwa mwenye baa. Unachotakiwa kufanya ni kuagiza maji au bia na glasi tu!

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Pole na mwanye baa, kwani hapo hakuna biashara tena. Kazi kwelikweli!!

Anonymous said...

hii ni zenji au Tabora?
maana naona wanyamwezi watupu hapo!
salaleeeeee! wazenzji wamekwisha

Anonymous said...

tehetehetehe