Saturday, 20 June 2009

Leo ni Mwaka Kogwa....


Maelfu ya Wazenj leo wanaungana na Wanamakuduchi katika siku ya kuoga mwaka maarufu kama Mwaka Kogwa. Hizi ni sherehe za kimila zinazofanyika kila mwaka katika mwezi huu wa saba.

Kwa habari zaidi tembelea hapa

3 comments:

SIMON KITURURU said...

Sikuwa naijua Sherehe hii!

kibunango said...

Ni moja ya sherehe kongwe visiwani humo

Anonymous said...

Mbona tuliambiwa sherehe hii hufanyika Julai 20? kumbe ni leo?