Friday, 7 August 2009

Wapemba waendeleza ual-qaeda...!

Baada ya Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995,Visiwa vya Zenj vilishuhudia vituko kibao, ikiwa ni pamoja na mabomu ya baruti na ya petroli yakilipuriwa katika maeneo mbali mbali ya visiwa hivyo. Toka katika maakazi ya watu, ofisi za serikali na hata sehemu nyeti kama za usambazaji wa umeme visiwani humo zilipata makasheshe ya milipuko ya mabomu. Mabomu mengine yaliweza kulipuka huku mengine yakishindwa kulipuka.

Kipindi hicho kilikuwa ni kabla ya ulipuaji wa mpigo(sambamba)wa mabomu kuanza. Ni katika mwaka 1998 ambao ulipuaji wa sambamba uliponza na kukikuhisha kikundi maarufu cha Al-Qaeda, pale walipoweza kulipua kwa wakati mmoja ofisi ya balozi wa Marekani katika majiji ya Dar es Salaam na Nairobi.

Hapo Majuzi nyumba za Masheha huko Pemba ziliweza kulipuliwa kwa staili hiyo na kufanya wengi kufananisha milipuko hiyo kama ile ya kundi la Al-Qaeda. Huu ni muendeelezo wa ulipuaji wa mabomu huko Pemba kwa madai ya kuwa Masheha wanawanyima wakaazi wa huko kuandikishwa kwenye daftali la kudumu la kupiga kura.

Wapemba katika hili wapo mbele, kwa kumbukumbu za haraka haraka, tokea uchaguzi wa mwaka 1995, kumekuwepo na vituko vingi sana huko Pemba, kama vile vya kugeuza visima vya maji kuwa vyoo, kupaka vinyesi katika skuli,ili kuzuia wanafunzi kusoma, kunyang'nya polisi silaha na kuteka kituo cha polisi, kususia shughuli za maziko na arusi, kubagua watu wa kufanya biashara nao, talaka kwa wanandoa kutokana na tofauti za kisaisa na vituko vingine kaza wa kaza.

Pamoja na yote, ili la mabomu ambalo linaendela sasa, linatakiwa kuchukuliwa hatua za haraka la kulidhibiti, kwani litaweza kuleta madhara makubwa sana hapo mbele, na hasa siku ambayo Wapemba hao watakaweza kuwa na mabomu yenye nguvu(haya ya sasa hayana nguvu kubwa)au mabomu ya sumu! Hivyo basi ni vema kwa vyombo vinavyohusika kuwatafuta watu hawa wanaolipua mabomu na kuwafikisha kwenye vyombo husika. Na ni wakati wa kuanza kuitumia sheria ya magaidi iliyotungwa mara baada ya milipuko ya Dar na Nairobi.

7th August 2009

Nyumba za Masheha wawili zalipuliwakwa mpigo

Milipuko miwili tofauti imetokea sambamba nyumbani kwa masheha wawili kisiwani Pemba na kusababisha zaidi ya watu 30 kunusurika kifo.
Akizungumza na Nipashe juu ya matukio hayo yanayofanana na ile milipuko ya kupanga ya kikundi cha kigaidi cha Al- Qaeda kwa kulipuka kwa wakati mmoja, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Yahya Bugi, alisema matukio hayo ni ya kupanga.
Alisema katika tukio la kwanza, watu wasiojulikana walitega bomu la kutengenezwa kienyeji kwa kutumia baruti (TNT) na kulilipua nyumbani kwa Sheha wa Mihogoni, Salim Said Salim (59).
Kamanda huyo aliliambia Nipashe kwamba nyumbani kwa Sheha Salim kulikuwa na mkusanyiko wa watu waliokuwa wakihudhuria harusi nyumbani kwake saa sita usiku wa kuamkia jana.
Alisema bomu hilo lililipuka wakati Sheha na wageni wake wakiwa wamelala na kusababisha athari kubwa kwenye ukuta wa nyumba yake na mabati sita yaliyoezekwa nyumba hiyo kung’oka.
Kamanda Bugi alisema kwa mujibu wa Sheha Salim, walisikia kishindo kikubwa kikitokea nyuma ya nyumba yao na baada ya kukimbilia katika eneo hilo waliwaona vijana wawili wakikimbilia eneo lenye migomba.Zaidi: tembelea Nipashe

3 comments:

Mpemba% said...

We kibunango utaandiki nini kizuri juu ya wapemba? Na wewe si mshenzi wa bara tu, mnaofaidi mali na jasho la wazanzibar kwa kujidai eti na nyinyi ni wazanzibar!!! Hivi unafkiri hatuwajui historia yenu,baba ako kapewa uwaziri wa smz wakati ni jitu la bara na wewe umekuja ulaya kwa jasho la wazanzibar halafu unapata mdomo wakuandika matusi zidi ya wapemba (wazawa wa zanzibar). Funga bakuli lako chafu hilo...! Magaidi ni mashekha wa CCM wanaokata kuwapa watu ZAN ID wákati ni wazanzibar halisi kuliko hata hao mashekha (wengine washenzi wa bara) kama wewe mlokuja kwa zanzibar kwa mbio za mwenge! Tena ukome, kuwaita wapemba waliokatika nchi yao magaidi, wakati wewe ulokimbia kwetu Tabora unaendelea kunufaika na matunda ya wazanzibar. Nasema ushike adabu yako paka mweusi we kwa kuwatukana wapemba na nchi yao! Alqaida ni CCM wanaoleta majeshi kutoka bara kuja kupiga kura zanzibar, alqaida ni wewe kichogo unaepata ujasiri wa kuwatukana walokupa hifadhi katika ardhi yao tukufu, alqaida ni nyinyi vichogo (watu wabara) mnaotia visima mavi kisha mkashingizia wapemba, alqaida ni nyinyi msonafadhila tumewaajiri kutupalilia mikarafuu lakini mnatumiwa na ccm kuhujumu nchi yetu, alqaida ni nyinyi mangosha mnao pasua baruti halafu mnashingizia wapemba! Ukome tena taghaa-dab!

Mpemba 100% said...

Anonymous said...

KIBUNANGO.MANENO HAYO UMEYASIKIA. USIWACHEZEE WAPEMBA KWA KUANDIKA VIJIHABARI VISIVYO NA MBELE WALA NYUMA.WANAWEZA KUKUTIA MATATANI HAO.USIWADHARAU KAKA.
KUNA JAMAA ANATAKA NIKUULIZE HAPA,ANASEMA KWA TAKWIMU ALIZONAZO YEYE TANGANYIKA KILA SIKU ZINASIKIKA HABARI ZA KUUWANA KWA SILAHA.NA MAJUZI TU BENKI ZIMEKUWA ZIKISHAMBULIWA KWA MABOMU.HUKO VIJIJINI NAKO MKULIMA KAFUKUA MABOMU ZAIDI YA 25.SASA HAO NAO NI AL-KAIDA?
KAKA KIBUNANGO WAPEMBA HAWA WANA NGOMA YAO HIYO WAKIJA KUKUCHEZEAGA WEWE UTAUMBUKA!
BORA ENDELEA HABARI ZA MAGARI YA PUNDA TU AMABAYO NDIO MATUNDA YA KUIFARIJI CCM .AU TULETEE HABARI ZA HAO WALEVI MAISARA TUPATE KUCHEKA.
USIANDIKE MAHABARI YA KUWAKERA NDUGU ZETU WA PEMBA BWANAAAAA!