Saturday, 5 December 2009

Leo ni siku ya kuzaliwa kwangu....

Katika siku hii, napenda jumuike pamoja katika kushereheka....
Pichani chini ni sehemu ya kuuzia nyama hapo Marikiti kuu.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa kakangu!!

Bennet said...

Hongera sana, huyo jamaa mbona kavaa apron nyekundu badala ya nyeupe, kwani huko hakuna mabwana/bibi afya na wakaguzi wa nyama (meat inspectors)

Kaziyabure said...

Hongera sana Kamanda,siku hazigandi...picha imenikumbusha home sweet home.

Mzee wa Changamoto said...

Nimefurahi kurejea hapa
Japo nimechelewa kutoa PONGEZI, lakini naamini si mbaya kufanya hivyo
BARAKA KWAKO NA MAISHA MEMA NAKUOMBEA
PamoJAH

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

hongera mzee

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana kaka Kibu.