Monday, 19 April 2010

Spitali ya Vinyama


Ukiwa Unguja, sehemu ya kutibu Vinyama ipo Mbweni, barabara ya Bakari Jabu.

4 comments:

Kaziyabure said...

SMZ inatia aibu..

Anonymous said...

Kwani ni vinyama gani hao?

kibunango said...

Ni wanyama wa kawaida... Ila wakifika Mbweni ni Vinyama.

Anonymous said...

Huyo mwenzetu hajafahamu vizuri inaonesha hayajakaa sawa sana, ni vinyama animals sio vinyama fulani viliomo kwenye miili ya watu