Wednesday, 16 June 2010

TANGAZO: Uzinduzi wa Tawi la CCM Helsinki - Finland


Tunayo furaha kubwa kukukaribisha katika mkutano wa kwanza wa tawi la Chama Cha Mapinduzi(C.C.M) nchini Finland.

Dhumuni la mkutano wetu huu wa awali ni kufahamiana katika chama kama wanachama hai wa C.C.M. vilevile kupitia vipengele hivi viwili muhimu.

A) Ufunguzi rasmi wa tawi C.C.M Finland na uandikishaji wa wanachama wapya wa C.C.M.

B) Uchaguzi wa kwanza rasmi wa viongozi (wawikilishi) wa tawi la Chama Cha Mapinduzi Finland.


Uzinduzi Wa Tawi La CCM Helsinki Finland utafanyika siku ya Ijumaa, tarehe: 25-08-2010

No comments: