Tuesday, 22 June 2010

UZINDUZI TAWI LA CCM HELSINKI. MABADILIKO YA UKUMBI NA TAREHE

KUTOKANA NA SABABU NJE YA UWEZO WETU TUMERUDISHA NYUMA SIKU MOJA YAANI ALHAMISI BADALA YA IJUMAA AMBAYO NI SIKUKUU MUHIMU HAPA FINLAND (MID-SUMMER-JUHANNUS) KUTAKUWA NA SHIDA YA USAFIRI. PIA KUTOKANA NA KUPOKEA EMAILS NYINGI ZA WASHIRIKI KAMATI YA MAANDALIZI IMECHUKUA UKUMBI MKUBWA NA WA KISASA PALEPALE KATIKATI YA JIJI LA HELSINKI-RAVINTOLA KAISANIEMI (THE HOME OF AFRICAN NIGHT) KAISANIEMENTIE 6.


TAREHE: ALHAMISI 24.6.2010
MUDA: 18.00pm -23.30pm
BAADA YA MKUTANO: KUTAKUWA NA BURUDANI YA NYIMBO ZA KINYUMBANI TU NA DJ. ALTUNEZ.
KWA WALE WANAOJISIKIA KUJA KUFAHAMIANA NA WATANZANIA WENZAO, TUTAKUWA NA MAZUNGUMZO YA PAMOJA NA BAR KUWA WAZI KWAAJILI YA VINYWAJI BAADA YA MKUTANO 21:00.


NB: WANAWAKAMATI WANAFANYA MAWASILIANO NA BALOZI WETU WA SWEDEN AU MWAKILISHI WAKE ILI AWEZE KUWA MGENI RASMI KWAAJILI YA UFUNGUZI.

No comments: