Sunday, 1 August 2010

Zanzibar ni Mseto


Matokeo rasmi ya kura ya maoni juu ya serikali ya umoja wa kitaifa yametolewa. Kura za ndio ni 188,705 na kura za hapana ni 95,613. Hii inamaanisha kuwa serikali ijayo ya itakuwa ni ya umoja wa kitaifa.

No comments: