Friday, 18 February 2011

Mkurugenzi wa Manispaa ya Zanzibar Amwagiwa Tindikali...


Mkurugenzi wa Manispaa Zanzibar Nd.Rashid Ali Juma amwagiwa tindikali na watu wasiojulikana, hali yake ni mbaya sana.

Tukio la kuwagiwa tindikali linahusishwa sana na uwamuzi wa SMZ kuondoa makontena katika eneo la darajani ili kupisha utengenezaji wa bustani.

Aidha kuwekuwepo na vitendo vingi vya kujichukulia sheria mikononi visiwani humo tokea kuanza kwa mwaka huu, ambapo baa kadhaa zilichomwa moto na watu wasiojulikana.

No comments: