Saturday, 10 September 2011

Meli yazama huko Nungwi...
Picha kwa hisani kubwa ya George Kazi


Hadi muda huu zaidi ya maiti 50 zimeopolewa, kutoka kwenye ajali hiyo kwa juhudi za Waakazi na Wavuvi wa Nungwi.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

poleni sana na msiba huu mkubwa. Roho za marehemu zistarehe kwa amani peponi. AMINA!

Anonymous said...

As soon as I heard this ,
I thought about you. I hope your family is safe. I know how you love Zanzibar, I ma praying for Zanzibar, your Family and Tanzania.
Mngu Ibariki Tanzania.