Thursday 23 February 2012

KUMBUKUMBU.

Ni miaka 23 sasa tangu umetutoka lakini sisi kama watoto wako pamoja na baba ulietuacha huku tunaona ni kama jana tu umeondoka maana umeenda kimwili lakini kiroho bado tupo nawe, na kamwe hatutaacha kukumbuka malezi yako bora!

Tukiwa kama familia (watoto wako pamoja na mumeo (baba)) daima hatuishi kukuombea DUA njema kila kukicha upate kupumzika kwa kwa amani huko uliko.

Ni matumaini yetu mungu anasikia dua zetu MAMA.

Ni sisi wanao wapendwa Mariam, Hussein, Salum, Mariam Hawa pamoja na Baba yetu (mumeo) Sheikh Suleiman hatuna la zaidi ila ni dua tunakuombea.

INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJIUN.


Salum Suleiman Lyeme (Sule Junior)
Entertainment writter (Freelance), Graphic Designer (Freelance) / Mwananchi Communication Ltd
C.E.O of SULE'S Inc. & ENTERTAINMENT