Wednesday, 8 February 2012

Sauti za Busara Kuanza Leo Usiku...

Tamasha la Sauti za Busara litaanza leo usiku katika kumbi mbalimbali za Mji Mkongwe na Ng'ambo.

Saa 1:00 Usiku: Bashraaf:- Mercury Restaurant.

Saa 2:00 Usiku: Black Root:- CCM Hall.

Saa 2:00 Usiku: Maulidi ya Homu:- Mtendeni Club House

Saa 3:30 Usiku: Kozman Ti Dalon:- Maru maru Hotel

No comments: