Tuesday, 26 June 2012

Vijimambo Stone Town...Saturday, 23 June 2012

Rais Shein Katika Uzinduzi wa ZakkaUzinduzi wa Zakka Zanzibar katika ukumbi wa Bwawani.

Wednesday, 20 June 2012

"Mimi sio Uamusho" - Mansoor Yussuf HimidWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid amekanusha kuwa yeye si Uamsho na wala hawaungi mkono kama inavyodaiwa mitaani licha ya kukubaliana na kauili mbiu yao.

“Mimi sio Uamsho wala siwaungi mkono nataka kusema wazi hapa maana kuna watu kazi yao kusingizia wenzao, lakini kwa hili la tuachiwe tupumuwe mie nakubaliana nao kwa maana kaulimbiu hii nakubaliana nayo, lakini sio vurugu zao” Alisema Waziri Himid.Source: Salma Said

Tuesday, 19 June 2012

Baraza la Habari Tanzania Leo wapo Zanzibar...Ayub Rioba, Leo kwenye kongamano la MCT anategemewa kuchokoza mada...

Monday, 18 June 2012

Semina ya Viongozi wa Dini -ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,mara baada ya kuifungua semina ya siku moja iliyofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.


Source:Salma Said