Wednesday, 20 June 2012

"Mimi sio Uamusho" - Mansoor Yussuf HimidWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid amekanusha kuwa yeye si Uamsho na wala hawaungi mkono kama inavyodaiwa mitaani licha ya kukubaliana na kauili mbiu yao.

“Mimi sio Uamsho wala siwaungi mkono nataka kusema wazi hapa maana kuna watu kazi yao kusingizia wenzao, lakini kwa hili la tuachiwe tupumuwe mie nakubaliana nao kwa maana kaulimbiu hii nakubaliana nayo, lakini sio vurugu zao” Alisema Waziri Himid.Source: Salma Said

No comments: