Sunday, 22 July 2012

Nahodha Katapika


"Watu wameiba mamilioni ya fedha, wamepora maekari ya ardhi ya waznz lakini Leo hii akisimama na kusema hautaki muungano anaoenekana ndio mtetezi wa waznz" mh. Shamsi Nahodha

2 comments:

Anonymous said...

nahodha kajihariya hao hao walioiba na kupora ndiyo waliomsaidiya kuiba kura na kumtangaziya ushindi ijapokuwa yeye nwenyewe alikuwa kishakubari kama kashindwa uchaguzi

Anonymous said...

ha ha ha huyu nahoza siyule aliyekuwa mtingo wa daladala ya amani hata hajuwi dereva wake anafanyanini naona wanaanza kuadhirishana duwa za muamsho zinawafichuwa