Sunday, 27 October 2013

Isaac A. Sepetu amefariki dunia..


Balozi Isaac Abraham Sepetu amefariki dunia leo asubuhi, kwenye hospitali ya TMJ Jijin Dar es Salaam.

1 comment:

a.mtsashiwa said...

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema.
Tunashukuru kwa mchango wake katika
taifa.