Sunday, 12 January 2014

Kilele cha Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Kesho ni public holiday)

Leo ni kilele cha sikukuu ya kutimiza miaka 50 ya Mapinduzi,ambapo pamoja na mambo mengine imetangazwa kuwa kesho(Jumatatu)itakuwa ni siku ya mapumziko.

Mapinduzi Daima!

No comments: