Sunday, 5 January 2014

Miaka 50 ya Mapinduzi ya ZanzibarHistoria fupi ya Mapinduzi ya Zanzibar:-

Yalifanyika katika muda wa masaa tisa tu.

Yalianza saa tisa alfajiri hapo Ziwani Police Baracks.

Upinzani wa nguvu wa Mapinduzi hayo ulipatikana katika kituo cha polisi cha Malindi.

Hadi kufikia mchana, hali ilikuwa imetulia na Sultani kuondoka Zanzibar ikiashiria mwisho wa utawala wa kisultani uliodumu kwa miaka 133.

No comments: