Monday, 21 April 2014

Pasaka, Ni Moja Ya Viungo Muhimu Vya Muungano

Sherehe za Sikukuu ya Pasaka kwa miaka nenda rudi katika historia ya Muungano wetu, imekuwa ikuwakutanisha raia wa kawaida toka pande mbili za Muungano katika aina mbalimbali za michezo na shughuli nyingine za kijamii.

Pasaka kwa namna moja ama nyingine imekuwa ni kiungo muhimu kwa katika kutoa uelewa wa moja kwa moja juu ya desturi na mila na utamaduni toka katika pande hizi mbili za Muungano.

Pasaka njema kwa Watanzania wote