Tuesday, 17 February 2015

Kendwa Rock Beach Hotel Yaungua MotoChanzo cha moto:Hitilafu ya umeme.

Jengo lilioungua ni la Jiko, Duka na Sehemu ya burudani.

Hasara iliyosababishwa na moto huo, inakisiwa kuwa ni Shilingi bilioni moja.Picha na OMPR

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Duh hapo hasara sana pole sana