Sunday, 26 June 2016

Mv Happy yazama karibu na Kisiwa cha Chumbe....Meli ya mizigo iitwayo Happy ikitokea Dar es salaam kwenda Zanzibar imezama eneo la Chumbe, Unguja.

Taarifa zimedai kwamba Meli hiyo ilianza kuzama saa 10 alfajiri baada ya kuingiza maji ndani na kukosekana kwa vifaa kama motor ya kutolea maji hayo kufikia saa 1 asubuhi hii Meli hiyo ilizama kabisa ndani ya maji.


Meli hiyo ilikuwa imebeba Dengu gunia 450 pamoja na Mbao zaidi ya 1000 huku wafanyakazi sita waliokuwa ndani ya Meli hiyo wakiokolewa.

Mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa ni meli ya mizigo mitupu na mabaharia mpaka sasa imeripotiwa kwamba wote ni wazima.


Source: Jamiiforums

Wednesday, 1 June 2016

Zanzibar's pioneering pension scheme.....Tanzania’s semi-autonomous archipelago of Zanzibar has introduced a pension scheme for all citizens aged 70 and over.

It is the first fully funded state pension in East Africa.

Each pensioner will be entitled to 20,000 Tanzanian shillings ($9, £6) a month.

Campaigners have welcomed the move and say it will lead to a huge improvement, not just in the lives of the elderly - considered to be among the poorest in society - but for the rest of the country as well.

Source:

BBC Africa.