Sunday, 14 August 2016

TANZIA : Mzee Aboud Jumbe amefariki duniaRais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia leo hii.

Marehemu alizaliwa tarehe 14.06.1920.

Marehemu alikuwa Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar tokea mwaka 1972 hadi 1984.

Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Watu wengine wana fuata tareha alizaliwa tarehe 14 na amefariki tarehe 14...poleni sana wana Zanzibar pia Wana-Tanzania kwa msiba. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.Amina