Wednesday, 14 February 2018

Uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Kuhojiwa Mahakamani...Bwana Rashid Salum Adiy wa Kikwajuni Zanzibar, na wenzake 39,999 wamefungua shauri katika mahakama ya Afrika Mashariki kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanzania.

Watakaohojiwa katika shauri hilo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Shauri hilo limepangwa kusikilizwa tarehe 8 ya mwezi wa 3 mwaka 2018.

No comments: