tag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post1958312244711488675..comments2023-11-02T16:40:04.598+03:00Comments on Vituko Vya Zenj: SMZ na Vilabu vya Pombe...Kibunangohttp://www.blogger.com/profile/18186613896550187098noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post-10101554907769862006-12-28T17:15:00.000+03:002006-12-28T17:15:00.000+03:00Mahakama ya vileo ipo, zamani zanzibar mtu kuingia...Mahakama ya vileo ipo, zamani zanzibar mtu kuingia baa na kuweza kunywa pombe alihitaji kuwa na leseni..<br />Baadae sheria hiyo iliondolewa, lakini Mahakama hiyo iliendelea kuwepo kwa kutoa leseni kwa mtu yoyote ambae anahitaji kufanya biashara ya ulevi kisiwani humo.Kibunangohttps://www.blogger.com/profile/18186613896550187098noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post-11236077753610550412006-12-26T12:19:00.000+03:002006-12-26T12:19:00.000+03:00Sikujua kuwa Tanzania tuna mahakama za vileo. Sish...Sikujua kuwa Tanzania tuna mahakama za vileo. Sishangai pia wananchi wengi hapo visiwani hawaifahamu. Habari mpya kwangu hii.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post-53565417734677903402006-12-03T15:04:00.000+03:002006-12-03T15:04:00.000+03:00Haya - kuchota maji ya kutawadha kwenye baa - siju...Haya - kuchota maji ya kutawadha kwenye baa - sijui tuanze na wapi.<br /><br />wazee wa tawala za mikoa bora wafikirie kuanzisha biashara ya vifaa vya sound-proofing halafu waweke mkakati kila baa ikarabatiwe na vifaa hivyo kabla ya kuongeza muda wa leseni.<br />kwa sasa waendelee kustahimiliana.mwandanihttps://www.blogger.com/profile/17221079814940079302noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post-41500039461804100462006-12-03T11:04:00.000+03:002006-12-03T11:04:00.000+03:00Kesi hii ngumu! Lakini kwa vile walishakosea toka ...Kesi hii ngumu! Lakini kwa vile walishakosea toka mwanzo kutoa viwanja bila mpangilio itabidi wavumiliane.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post-80123852628511108332006-11-22T21:48:00.000+03:002006-11-22T21:48:00.000+03:00Duh!Asante kwa habari hii!Duh!Asante kwa habari hii!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com