tag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post6760007883985090223..comments2023-11-02T16:40:04.598+03:00Comments on Vituko Vya Zenj: Kauli ya Nahodha ina WalakiniKibunangohttp://www.blogger.com/profile/18186613896550187098noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post-12008766536622516772007-09-01T04:54:00.000+03:002007-09-01T04:54:00.000+03:00@Kibunango:Kweli kabisa kwa ambao hawakupitia hii ...@Kibunango:Kweli kabisa kwa ambao hawakupitia hii kitu ni vigumu kulielewa hili jambo.<BR/>@Altunez:Kweli kabisa jambo hili. Lakini Viongozi wetu wanafikiri kuwa kuongea na ahadi za uongo ndio ujanja.Kumbe wakati mwingine kusikiliza ndio ujanja.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post-4086617276852067962007-08-30T15:17:00.000+03:002007-08-30T15:17:00.000+03:00Ruvuma ni mkoa wa kipekee kwanza kabisa kiutamadun...Ruvuma ni mkoa wa kipekee kwanza kabisa kiutamaduni wagoni ni mfano mkubwa wakuigwa hawa jamaa niwatuzaji wazuri wa mila na desturi mpaka leo hii utaona baadhi ya elements za kizulu ktk ngoma,uimbaji nk kumbuka hawa ni maimmigrants toka kusini mwa Afrika,kwa kilimo hawa jamaa ogopa walijulikana kama zebig five miaka ya nyuma kabla ya wale wataalamu feki wa kilimo kuintroduce mbolea ya kichumvichumvi ambayo ni husika kwa uharibifu mkubwa ardhi nchini.<BR/>kuwambia hawa jamaa kwamba wanahitaji elimu iliwaendelee si makosa ila ni elimu gani haswa wanaihitaji ilo ndio swala maake elimu ni matumizi serikali inahitaji kuwekeza katika rasimali nyinginezo za kiuchumi,naelimu inayotakiwa ni ile ambayo itamufaisha na kumwezesha mwananchi kwani sio siri kilimo tuu siku hizi sio uti wamgogo kama zamani, kuna mhe mwingine katoa hoja hivi majuzi katika shule moja ya nimrod mkono,kwamba vijana wafundishiwe kichina ati kwasababu uchina inaendelea kwa kasi ......sio lazima viongozi kutoa hotuba kila watembeleapo mikoa mara nyingine wawewasikilizaji tuu watajifunza mengi na wataheshimika zaidi.Alikohttps://www.blogger.com/profile/09653088259711714658noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post-88612227196230303562007-08-30T09:12:00.000+03:002007-08-30T09:12:00.000+03:00Sawasawa Hiyo ndio ilikuwa Ruvuma.. Shurti upitie ...Sawasawa Hiyo ndio ilikuwa Ruvuma.. Shurti upitie Lukumbulu...<BR/>Hata hivyo Kwa wasiojua inakuwa ni vigumu kuelewa.Kibunangohttps://www.blogger.com/profile/18186613896550187098noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5093416324346358687.post-79579150094882176752007-08-30T03:54:00.000+03:002007-08-30T03:54:00.000+03:00Umenikumbusha mbali! Maswala ya kwenda Ruvuma kabl...Umenikumbusha mbali! Maswala ya kwenda Ruvuma kabla ya barabara ya lami; Ule mlima wa lukumbulu na ufinyanzi wake , yale magari ambayo unakuta yamekwama masiku kibao njiani, hapo achana na yale uyaonayo pembeni ya barabara yamepinduka!Ndege za ATC vilevile zile nyingine zenye nyufa ndani!Kusafiri na ndege za jeshi za mizigo!Kweli Ruvuma ilikuwa kazi! Nilikuasijui kuwa mpaka sasa Ruvuma inatumia genereta za mafuta.DUH!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com