Tuesday 26 June 2012

Saturday 23 June 2012

Rais Shein Katika Uzinduzi wa Zakka



Uzinduzi wa Zakka Zanzibar katika ukumbi wa Bwawani.

Wednesday 20 June 2012

"Mimi sio Uamusho" - Mansoor Yussuf Himid



WAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid amekanusha kuwa yeye si Uamsho na wala hawaungi mkono kama inavyodaiwa mitaani licha ya kukubaliana na kauili mbiu yao.

“Mimi sio Uamsho wala siwaungi mkono nataka kusema wazi hapa maana kuna watu kazi yao kusingizia wenzao, lakini kwa hili la tuachiwe tupumuwe mie nakubaliana nao kwa maana kaulimbiu hii nakubaliana nayo, lakini sio vurugu zao” Alisema Waziri Himid.



Source: Salma Said

Tuesday 19 June 2012

Baraza la Habari Tanzania Leo wapo Zanzibar...



Ayub Rioba, Leo kwenye kongamano la MCT anategemewa kuchokoza mada...