Sunday, 5 January 2014
Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Historia fupi ya Mapinduzi ya Zanzibar:-
Yalifanyika katika muda wa masaa tisa tu.
Yalianza saa tisa alfajiri hapo Ziwani Police Baracks.
Upinzani wa nguvu wa Mapinduzi hayo ulipatikana katika kituo cha polisi cha Malindi.
Hadi kufikia mchana, hali ilikuwa imetulia na Sultani kuondoka Zanzibar ikiashiria mwisho wa utawala wa kisultani uliodumu kwa miaka 133.
Posted by Kibunango at 02:05 0 comments
Thursday, 26 December 2013
I am one in-charge in Zanzibar - Shein
Dr.Shein have said it all ! " Citizens are free to express their opinions,but not on behalf of the government".
Wanaofanya hivyo ni kwa kitumia kivuli cha vyeo vyao kichama ,au kwa vyeo vyao vya kuajiriwa tu".
No ,they can`t and should not confuse the people ; because "I am in charge" he said .
There was no zigzaging in his statement. Dr Shein ,shamed the political polluters and put the rummer mongeres into their rightful
places where they can keep on concocting /lies .
Hapo kale .
Msema kweli mmoja wa kale alisema kwamba : Kusema ukweli ni kama kumenya kitunguu, kila unapomegua ganda machozi hua
yanakutoka;na hata utakapo fikia ganda la mwisho machozi tiriri ".
Ni rahisi kwa wapiga debe la kisiasa kuwadanganya wananchi lakini ni viigumu kuwaelimiha wananchi hao kua wanadanganywa.
Ugumu wake ni kama dereva wa gari bovu kutaka kulisukuma wakati yeye mwenyewe yumo ndani na amejifungia milango na kufunga breki zote.
Jee gari hilo litasukumika verejee ?
Salam.
Ali
Posted by Kibunango at 23:28 0 comments
Sunday, 27 October 2013
Isaac A. Sepetu amefariki dunia..
Balozi Isaac Abraham Sepetu amefariki dunia leo asubuhi, kwenye hospitali ya TMJ Jijin Dar es Salaam.
Posted by Kibunango at 10:38 1 comments