Friday, 6 March 2009

Maji ya Karume Bai bai, Karibu maji ya JapanKwa muda mrefu kisiwa cha Zanzibar kimekuwa kikipata huduma ya maji bure, hatua ambayo ilitokana na mapinduzi ya mwaka 1964. Huduma hiyo muhimu kabisa katika maisha ya kila siku ya binadamu ilibatizwa jina na kuitwa maji ya Karume. Hata hivyo jina hilo halikuja burebure tu! kuna sababu kadhaa ambazo zilisababisha maji hayo yaitwe ya Karume. Moja ya sababu kubwa ilikuwa ni upungufu wa maji na hasa katika halmashauri ya manispaa ya Zanzibar,ambapo wananchi wengi walijikuta wakitafuta maji sehemu mbalimbali za manispaa hiyo. Usumbufu wa upatikanaji wa maji ulisababisha maji hayo kuitwa Maji ya Karume ambayo yalikuwa ni bure lakini shida kupatikana.

Maendeleo yote yaliyotokana na mapinduzi yaligeuka kuwa adha na kero baada ya maji kupungua katika manispaa, Majengo kama ya Mjeru pale Kikwajuni ambayo yalikuwa yakipata maji muda wote yalijikuta yakikosa maji muda mwingi wa mchana na maji yaliweza kutoka usiku tu, na ni usiku wa manane, hivyo kuwafanya wakaazi wake kubadilisha ratiba ya kulala ili waweze kukinga maji. Hali hii ilikuwepo kwa maeneo ya Kilimani, Michenzani na sehemu kadha wa kadha katika manispaa hiyo.

Ukosefu wa maji ya kutosha katika maeneo hayo ambayo yalikuwa na nyumba za ghorofa kulisababisha kubadilika kwa sura za majumba hayo kwa uwekaji wa pump za maji,nyingi katiya hizo kufungwa kienyeji tu na kuendelea kuwa kero kwa wananchi hao. Aidha uchimbaji wa makaro makubwa ya kuhifadhia maji chini ardhi ulishamiri na kupunguza upatikanaji wa maji hayo machache/kidogo kwa wakaazi wengine. Uchimbaji wa visima vile vile ulishamiri kando kando ya manispaa hiyo. Hii yote ilitokana na upungufu mkubwa wa maji ya Karume.

SMZ kwa upande wake walijitahidi kuona kero hiyo inaondoka, lakini mara zote miradi ya maji yenye nia ya kuwa endelevu ilishindwa kuendelea kutokana na SMZ kuendelea kupendelea kuwa na Maji ya Karume.

Wananchi kwa upande wao walikuwa tayali kulipia huduma za maji,hii inaonyeshwa na mifao kadhaa ya baadhi ya wananchi walioamua kutafuta njia za kudumu za upatikanaji wa maji katika maeneo yao. Miradi mingi midogo midogo ya maji iliyowashirikisha wananchi ilifunguliwa na mingi katika hiyo ilitumika kama mifano katika hatua za awali za semina mbalimbali za kubadili msimamo wa serikali na maji yao ya Karume.

Maji ya Karume yalianza kuaagwa rasmi tokea mwaka jana, hata hivyo sio wananchi wote ambao wameweza kupata maji ya Japan licha ya Idara ya maji kuwatumia ankara za maji. Hii kwa upande mmoja inaonyesha kuwa Idara ya Maji bado haijawa makini katika kuona kuwa maji yanalipiwa na yule tu ambae mfereji wake haukauki maji, na sio wale wenye mifereji iliyokauka au ile yenye kupiga filimbi kama maji yanakuja kumbe la..!

Udhaifu huu unathibitishwa na Waziri wa Maji, Ujenzi, Nishati na Ardhi,Bw, Mansour Yussuf Himid katika kauli yake aliyoitoa hivi majuzi wakati wa kusaini awamu ya pili ya maji ya Japan

``Napenda kutoa wito kwa wale wanaopata huduma ya maji kukubali kuchangia na wale wasiopata hawatatozwa fedha hadi hapo watakapoanza kupata maji ya uhakika,``

7 comments:

Anonymous said...

KUMEKUWA NA MAMBO MENGI YA KUSIKITISHA YAMEKUWA YAKIFANYWA NA HUYU MTU ANAYEJIITA ZEUTAMU...WE ALL TANZANIA'S LAKINI TUNAFANYIANA MAMBO YASIYOFAA KWA JAMII..WATU WANAFIKIA HATUA MPAKA KUTENGWA KWA KUHOFIWA NI WAATHIRIKA NA KUWA WANANYOOSHEWA VIDOLE MITAANI..NDOA ZA WATU ZIMEVUNJIKA KWA MAMBO YASIYO NA KICHWA WALA MIGUU YOTE HAYO NI KUTOKANA NA MAWAZO YA MTU MMOJA KUTAKA KUFURAHISHA NAFSI YAKE BINAFSI..
BILA HATA MSHIPA WA AIBU WAZAZI WETU WANAANDIKWA HAPA KWA KASHFA NA MAMBO YASIYO YA KWELI..

SIKATAI MTU KUWA NA UHURU WA KUFANYA ANACHOKITAKA BUT ALL IN ALL KUNA BOUNDARIES AU MIPAKA KATIKA KILA MAMBO UNAYOYAFANYA..OFCOURSE SIKATAI YA KWAMBA KILA MTU ANA HAKI YA KUFANYA ANACHOKITAKA.
HUYU BWANA MDOGO NITAPENDA KUMUITA HIVI KUTOKANA NA KUWA NA UPEO MDOGO KATIKA MAMBO ANAYOYAFANYA INGAWA NI MTU MZIMA ANAYESTAHILI KUITWA BABA..
TO SOME EXTENT HE HAS DONE SO MUCH WORSE THAN BETTER SINCE HE STARTED HIS BLOG UNOFFICIALLY...
WHAT BOTHERS NI WATU WANAKOSA AMANI KUHOFIA KUPIGWA PICHA AU KUIBIWA PICHA ZAO KWENYE NETWORKS ESP. SPCIAL ONES WHERE MOST PEOPLE MEET SO AS TO EXCHANGE THEIR IDEAS..
I BELIEVE EVERYONE HAS THE RIGHT TO EXPRESS HIS OR HER FEELINGS...
ANYWAYS NISIONGEE MENGI
I WOULD LIKE TO SHARE THE FOLLOWINGS WITH YOU..

HII NI EMAIL AMBAYO TUMEIPATA ALIKUWA ANAMTUMIA MTU AMBAYE ANATUMIA JINA LA "MARIAM MOHAMED" WHO HAS A FACEBOOK ACCOUNT with detail

Account Name: Mariam Mohamed
Hometown: London UK
Sex: Female
Email:issakumbena@gmail.com,blogzetu@googlemail.co m(the same email ipo kwenye website ya utamu)
If you can read between the lines you will realise thats a fake account
this was what The named GERALD KIGISI(zeutamuz@gmail.com) wrote to Mariam
"
Mambo bro,
ebwana nimekua bizi kinoma, ile forum yani bado kidizaini ila naishughulikia.
sasa tunakukaribisha kwenye zeutamu blog, unakaribishwa kua blog contributor... yani uweze kuweka posts.... Unaruhusiwa kurusha posts zozote ila PLEASE posts ziwe mambo yakibongo bongo tuuu!!! weka unachotaka lakini kuna boundaries... hizo boundaries tutazijua when time comes...

Namna ya kulogin: www.************/wp-login.php
username yako ni: zeutamu
password ni: *******(privacy but when in need email me)
Please angalia how wordpress works... jaribu kurusha picha moja au mbili kwa kutest. inahitaji kupractise kdogo lakini sio ngumu.
I MUST REQUEST YOU TO KEEP THIS INFO AS PRIVATE AS POSSIBLE... kikitokea kitu chochote toka kwako ambacho hakiendani na zeutamu practise ntadelete account yako.
Any questions please contact me and I will help you..."

so far this nigga GERALD KIGISI who hosts the web www.************
The Above Resides at the following adress
www.************ IP address location & more:
Host of the IP: www.************ [Whois] [Reverse IP]
Host IP [?]: 174.132.156.66 Copy [Whois] [Reverse IP]
IP address country: ip address flag United States
IP address state: Texas
IP address city: Houston
IP postcode: 77002
IP address latitude: 29.7523
IP address longitude: -95.3670
ISP of this IP [?]: THEPLANET.COM INTERNET SERVICES
Organization: THEPLANET.COM INTERNET SERVICES
Local time in United States: 2009-03-03 07:08

The Above graduated at a certain community college in United states of america on 1998
The college details with the students ID number and Registartion No

Hutchinson Community College
Admissions: admissions@hutchcc.edu
Business Office: studentbill@hutchcc.edu
General Information: (620) 665-3509
Accounts Payable: (620) 665-3423

Gerald Kigisi
Reg No. Hut8266-423IBB
Course: Comp Sci & Techn..
Year of graduation Fall 1998

HE CURRENTLY WORKS AT THIS COMPANY

Litton Loan, Houston, TX.
Litton Loan, Houston, TX., And Fidelity National Field Services, Ohio
Phone: 800-247-9727
Fax: 000-02365198

Litton Loan - Houston TX And FNFS-Ohio
Houston, Texas, 77081
U.S.A.


ANYONE WHO CAN I DENTIFY THEM PLEASE CHECK THE PICTURES BELOW...THE ONE IN A PASSPORT SIZE IS SAID TO BE ISSA KUMBENA AND THE ONE that has appeared twice IS SAID TO BE GERALD KIGISI

SO FAR THIS GUY ANAANZISHA FORUM IN COMING FEW DAYS WHICH WILL ENABLE HIM TO EARN SOME MONEY WITH EVERYONE WHO WILL REGISTER IN HIS FORUM WILL CONTRIBUTE TO HIS PAYPAL ACCOUNT $2 FOR EACH PERSON THAT WILL REGISTER IN HIS FORUM..
HE HAS NOT YET LAUNCHED IT BUT I HAVE DECIDED TO POST IT TO THE PUBLIC AND LET YOU ALL MY PALS SEE IT AND WE CAN HELP EACH OTHER TO SEIZE THIS SHIT
the website is
http://www.************/kijiweni
TRY TO LOGIN AND SEE HOW THIS GUY IS A FOOL WASTING TIME CREATING SOME GARBAGES..!!
please let us help each other katika kumu end up this fool..
I ts not a hard thing but we need cooperation
WHAT WE ARE DOING NOW

WE ARE RETREIVING ALL THE EMAILS THAT USED TO SEND PICTURES AND ALL SHIT TO THIS EMAIL
blogzetu@googlemail.com
zeutamuz@gmail.com
theutamu@gmail.com

So far Those who used to send him pictures I feel sorry for them coz we will let the world know them..!!

Huyu ni Gerald Kigisi

Huyu ndio Kigisi

huyu anajiita issa kumbena ila facebook anajulikana kama MAriam Mohamed

Yasinta Ngonyani said...

Maji ni muhimu kwa kila binadamu. kakangu nakumiss kwani ni siku nyingi sijakuona ku nitembelea vp

kibunango said...

Nimekuwa napita mtaani kwako kama kawaida, ila kwa ukimya kidogo. Anyway nitaanza kupita kama zamani kwa kelele nyingi na vishindo tele...:)

Aliko said...

Anonymous hapo juu kamwaga manyanga chini si utani.. if any of that is true basi ze utamuz kafichuliwa...
Maji ni Uhai chakushangaza Zanzibar ilikua kisiwa uhai wakati wa mashua karne zilizo pita kwani maji yalipatikana hapo kwa mabaharia wa safari ndefu... umuhimu wakuyalipia kwa karne haukwepeki ttokana na kupanda kwa gharama za maisha ulimwenguni kote.

Anonymous said...

First of all.u and all of u.u should know there and there was no "maji ya karume".speak the truth.
water was free in that Island since my great grandpa was born,my daddy and me and my sons.
So dont bring your maji ya karume here.so the education and the treatment toooooooo.

Man.ask the neighbours for ze ghord.
u catch me?????????.

Paul said...

Hello, I'm having trouble finding what "wakati wa mashua" means. I was told it means "dry season" or "season of dry" but in a dictionary it said "mashua" means 'launch' or 'a medium sized boat.' Could you tell me the meaning of this phrase and how it is used in speech? thanks!

(I know this isn't what you are talking about but this page came up on a google search)

kibunango said...

Paul;
Sina hakika unataka kuitumia vipi hiyo "wakati wa mashua" katika speech yako. Aidha kulingana na mada hii, wakati wa mashua unarudi nyuma hadi karne ya 18 ambapo kulikuwa na mashua nyingi zitumika katika biashara baina ya bara na visiwani.

Watumiaji wa mashua hizo waliweza kunufaika moja kwa moja na maji safi na bora ya Zenj, na wengi walitumia kisiwa hicho kama kituo cha kuongeza akiba yao ya maji katika mashua zao