Friday, 22 May 2009

Maili Nne- Zenj


Maili Nne ni kitongoji ambacho kimejengwa bila ya viwanja vyake kupimwa na Idara ya Upimaji. Ni kitongoji ambacho ni mfano katika kupanga nyumba pasipo kuwashirikisha wataalumu ambao wamekuwa na visingizio chungu nzima katika suala la kupima ardhi.

2 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Nimefurahi kufika kibarazani mwako. Kibaraza swafi na kila la kheri. Pamoja Daima

kibunango said...

Karibu sana Mzee Changamoto