Tuesday, 23 February 2010

Zanzibar sunset

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! Jamani kaka na baridi hii umenifanya nitamani kweli kwenda huko. Maana kunakupenda kweli

kibunango said...

Huko ni njema tu kwa hali ya hewa, ila usisahau tochi na chemli yako au karabai ukikosa kabisa basi koroboi..

Anonymous said...

ABUU HAO SAMAKI WAKO WA WALIKUWA NA NJAA SANA, NIMEWALISHA VYA KUTOSHA