Kisiwa cha Zanzibar kimejaaliwa kuwa na kila aina ya vituko na migongano ya aina kwa aina... Kwa ufupi napenda kutoa maoni yangu juu ya vituko hivyo, aidha kujua wengine wanamtazamo gani kuhusu vituko hivyo...
Hili ni moja ya mabango yaliyomkaribisha Maalim Seif katika mkutano wake, uliofanyika Jumamosi nchini UK.
Posted by Kibunango at 11:49
No comments:
Post a Comment