Monday 27 January 2014

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum Aweka Sawa CV yake



Ni kufuatia mapengo kadhaa katika CV yake Iliyopo kwenye tovuti ya Bunge la Tanzania.

Akizungumza na MTANZANIA Jumatatu kuhusu madai hayo, Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, kwani alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.

Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza.

Alisema mbali na masomo hayo, pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.

“Nimehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.

“Kwa sasa nachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam,” alisema Mkuya.

Sunday 26 January 2014

Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen, Ziarani Tanzania



Prime Minister Jyrki Katainen and Minister for International Development Pekka Haavisto will travel to Ethiopia and Tanzania on 26–31 January. The purpose of their visit is to strengthen bilateral relations and trade and development links, as well as promoting export and internationalisation opportunities for Finnish companies in Ethiopia and Tanzania. In Tanzania, the ministers will also conduct negotiations on bilateral development cooperation. The trip to Tanzania will include a short visit to Zanzibar.

During this Team Finland trip for the promotion of exports and internationalisation, the Prime Minister and the Minister for International Development will be accompanied by a business delegation, assembled by Finpro, with representatives from 27 Finnish companies. The companies involved operate internationally in the fields of energy, infrastructure construction, logistics, the information society, extractive industry, education, health, and agriculture and forestry.

During their trip, Prime Minister Katainen and Minister Haavisto will meet top-level political leaders and cabinet members from Ethiopia and Tanzania, as well as executives from major local companies. The programme will also include a meeting with the leadership of the African Union. In Ethiopia, the ministers will meet the country’s President Mulatu Teshome; its Prime Minister Hailemariam Desalegn, who has studied in Finland; the country’s Minister of Foreign Affairs Dr. Tedros Adhanom Gebreyesus; and other members of the cabinet.

In Tanzania, they will meet the President of Tanzania Jakaya Kikwete, the President of Zanzibar Ali Mohamed Shein, the Prime Minister of Tanzania Mizengo Pinda and several other cabinet members.
As two of the world’s fastest growing economies, Ethiopia and Tanzania present Finnish companies with the prospect of a major expanding market area in developing African markets. Both countries are long-term partners of Finland’s in development cooperation. In Ethiopia, areas of cooperation include the education, land administration and water sectors.

In Tanzania, development cooperation is focused on promoting good governance and access to basic services, and on the enhancement of sustainable exploitation of natural resources and employment-creating growth within the forestry, agricultural, information society and energy sectors.

Finland’s trade relations with Ethiopia and Tanzania are still in their embryonic stages. However, interest is clearly growing in expanding trade. The long-term cooperation between these countries also provides a solid foundation for the diversification of commercial relationships.

Inquiries: Antti Vänskä, Special Adviser to the Prime Minister (International Affairs), tel. +358 40 513 1458; Milma Kettunen, Press Attaché for the Minister for International Development, tel. +358 40 522 9869; Helena Airaksinen, Head of Unit for East and West Africa, tel. +358 295 351 583; and Kari Mokko, Director of Government Communications, tel. +358 40 751 3281

Companies represented in the business delegations: Arbonaut Ltd; Association of ProAgria Centres; Cargotec Corporation, Kalmar; Eltel Networks Corporation; Empower Oy; Ensto Finland Oy; Fifth Element Oy; Finnish Forest Research Institute Metla; Finnish Fund for Industrial Cooperation Ltd. (Finnfund); Finnpartnership (c/o Finnish Fund for Industrial Cooperation Finnfund); FM-International Oy FINNMAP; Geological Survey of Finland; Indufor Oy; JPT-Industria Oy; Kuopio International Health Ltd / Dental Mammoth Oy; Kuopio International Health Ltd / Helsinki Metropolia University of Applied Sciences; Miltton Group Oy; Mint of Finland; Nokia Corporation; Niras Finland Oy; Ramboll Finland Oy; Rovio Entertainment Oy; Suomen Viljava Oy; Sukevan Kivi Oy; Tekla Oy; Terrasolid Ltd and UpCode Ltd.

Saturday 25 January 2014

Masheha kuwa na Makarani....



ZANZIBAR: SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inatarajia kuwawekea makarani Masheha ili kuweza kufanya kazi zao vizuri na kwa ufanisi zaidi.

Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalumu za SMZ, Haji Omar Kheri aliwaambia wajumbe wa baraza la wawakilishi jana katika kikao kinachoendelea Chukwani Mjini Zanzibar wakati akijibu masuali ya nyongeza ya wajumbe hao.

“Katika bajeti ya fedha mwaka ujao wanatarajia kuwawekea makarani angalau wawili kwa kila sheha ili waweze kuwasaidia katika shughuli zao za kila siku kwani wameonekana wamekuwa na kazi nyingi zinazohitaji usaidizi” Alisema Waziri huyo.

Akijibu suali kuhusiana na kutunzwa kumbukumbu Waziri huyo alisema utunzaji wa kumbukumbu upo salama na haijawahi kupata taarifa ya kupotea kwa kumbukumbu licha ya kuwa baadhi ya Ofisi za Masheha kuwepo katika makaazi ya watu.
Alisema serikali imeandaa daftari maalumu la taarifa ambalo kila sheha atalazimika kujaza taarifa zake, ili kuiainisha mfumo wa taarifa zake.

Hatua hiyo imeelezwa kuwa itasaidia kwa kiasi kikubwa kutofautiana kwa mfumo wa mtunzaji wa taarifa ambao unafanywa kwa ushirikiano na Tume ya Mipango.

Waziri huyo alisema kuwa utaratibu wa kuweka kumbukumbu unafanyika na taarifa hizo ndizo zinazowawezesha masheha kutekeleza majukumu yao ya kila siku ambapo alisema kila Sheha ana jukumu hilo.

“Mheshimiwa Spika naomba nisema kwamba ili kuoainisha mfumo huo wa taarifa Ofisi yangu kwa kushirikiana na Tume ya Mipango tumeandaa daftari la taarifa ambalo kila sheha atatakiwa kulijaza na litaondowa kutofautiana kwa mfumo wa mtunzaji wa taarifa zake”, alisema Waziri huyo.

Hata hivyo alisema kuwa baada ya kujazwa katika daftari taarifa hizo zitawekwa katika mfumo wa kompyuta ili kuhifadhi kumbukumbu hizo.

Kheri alisema kuwa mfumo huo upo salama na hawajawahi kupata taarifa ya kupotea kwa kumbukumbu licha ya kuwa baadhi ya ofisi za masheha ziko katika makaazi ya wananchi.

Awali katika suali lake la msingi Mwakilishi wa nafasi za wanawake (CUF) Mwanajuma Faki Mdachi alisema kwa kuwa Masheha hufanya kazi zao kwa niaba ya serikali na ili Masheha wafanye kazi zao vizuri wanatakiwa waweke kumbukumbu mbali mbali katika maeneo yao ili kuondoa utatanishi baina ya Masheha na wananchi wlaiomo katika shehia zao, Je utaratibu wa kuweka kumbukumbu unafanyika.

Aidha Mwakilishi huyo alitaka kujua iwapo utaratibu huo unafanya kazi na ni masheha wangapi wenye kufanya hivyo na kwa kiasi gani utunzaji wa kumbukumbu hizo unakuwa salama wakati ofisi za Masheha zipo majumbani mwao.

Friday 24 January 2014

Zanzibar revolt spiced up island life



Zanzibar is one of the most beautiful islands on Earth. Its waters are serene and clear, an ideal zone for those who appreciate the secret beauty of the ocean.

Beneath this beauty of dancing sunsets lies a historical jewel for those who aspire to a society free of suffering. Exactly 50 years ago, a revolution erupted on the tiny island, led by a maverick named John Okello, who had no plan or vision but was driven by raw rage and oodles of chutzpah. An oppressive government of an Africanised Arab elite that had dominated black Africans for too long was toppled overnight.

Zanzibar's history is complex, with layer upon layer of oppressors from Arabs to different hues of Europeans who oppressed the oppressors and governed by divide and rule.

In January 1964, Okello, an army serviceman, gathered some disaffected youth and overthrew the government of the sultan and his Arab minority, who had monopolised power through machination after Britain granted independence the previous year.

Chaos and mayhem set in. But, like Louis Bonaparte, Okello didn't appear "like a bolt from the blue", as Karl Marx told us. He was a creation of the oppressive and racist conditions on the island, which, in the 18th century, was a busy slave market. It is said that more than 50 000 people were sold annually.

The tourist route takes you from the middle of the city to the spice plantations. The slaveholding quarters are a nightmare to this day, where you can still witness holes dug not more than a metre deep to keep scores of captured blacks until the slave ships arrived.

In the slave yard stands a lone tree, forlorn. The half-informed tourist guide speaks without emotion about how newly captured blacks were tied to the tree and whipped to test their strength and thus determine their price on the auction block.
You wish for him to stop talking and quickly move on.

By the time you enter the Anglican cathedral, also standing on the slave quarters, which prides itself for having erected an altar exactly on the "whipping spot", your soul is lodged deep inside the belly of the slave quarters.

You suppress your imagination to stop you from wailing with the millions of voices muffled by captivity. You fear vertigo must be upon you; maybe like me you ask to sit down to rein yourself in.

There is little doubt that the eruption of the revolution, which seems irrational and even comical, must have something to do with the irrational cruelty of slavery – the foundations of Zanzibar.

Zanzibar reminds us that enslaving Africans didn't start with the Europeans; the Arabs were there first. They castrated the males, hence few traces of their evil deeds linger except relative economic development. The cry for compensation and acknowledgement is still to besiege Arabia from black Africa.

My interest in Zanzibar is more personal than political. I have gone there three times under the pretext of a holiday, a film festival and in search of the grave of Marxist scholar Mohamed Babu.

Okello's lumpen revolution was rescued from itself by the revolutionary socialists of the Umma Party under the leadership of Babu.

Unlike the tragic fate that befell the Egyptian revolution of 2011, Zanzibar was luckier to have real revolutionaries who gave it direction.

Within days of the revolution the CIA and the West were plotting an end to the "Cuba of Africa".

The "comrades", as Babu's people were called, took over from the fumbling Okello and expropriated land and distributed it among those who worked it.

They removed all privileges that came with political office; the president drove his own car.

The participation of people in the affairs of the nation and politics was expanded.


The idealists of the world came down to help the revolution.

Washington, DC, got a fright and started plotting to end the experimentation with real liberation. Declassified CIA documents show disturbing plots and conniving to stop the revolution.

The merger of Tanganyika and Zanzibar to give us Tanzania was realised on the back of two opposing forces that wittingly or unwittingly worked together.

Julius Nyerere wanted one country, in accordance with his pan-Africanist ideals; the United States believed Zanzibar would be tamed by such an arrangement and encouraged it.

The united Tanzania saw Babu appointed minister of economic planning in Nyerere's Cabinet on the mainland.

But tragic events unfolded back on the island. The moderate president Abeid Karume was assassinated in 1972. Babu and about 40 of his comrades were accused of the crime and sentenced to death in absentia.

Some of Babu's co-accused were sent back to Zanzibar where they were summarily executed on arrival. Nyerere locked Babu up without trial from 1972 to 1978.

Babu's release was secured by an international campaign led from the University of Dar es Salaam, a hot- bed of radical scholars at the time.

The historical jury is still out about whether Nyerere locked up the vocal Marxist to silence him for his criticism of the Ujamaa programme, Nyerere's "African socialism". Babu responded with a critical book he wrote from jail. African Socialism or Socialist Africa has since become a classic in radical circles.

So what was the real reason for my visits to Zanzibar if all the political events were mere pretext?

My late stepfather and the man who raised me was from Tanganyika and stood regal like Babu. The images of the two men are strikingly similar.

I went to Zanzibar to find the roots of my stepfather but instead found the roots of an African revolution.

When I went on the spice tourist route, I did so to see the impact of Babu's agrarian revolution. At a well-managed spice farm with healthy trees of many varieties I asked to see the owner.

The young farm guide was startled.

My inquiry led to a call, which was answered by a voice from the top of a spice tree. I asked him if he knew Mohamed Babu.

"Oh! The comrades!" a delighted response came back.

The small-framed man, tall as Baby Jake Matlala and tough as nails, greeted me with a wide smile, and asked: "You know Babu?"

He told me that the comrades gave him the five hectares of land in 1964. He was at the time a labourer on the farm he now owns and works; living happily from his own labour, free from exploitation.

The spice value chain still reflects a colonial and tribal hierarchy, with black Africans at the bottom and Africanised Arabs on top. But one thing is certain: the revolution liberated the people and freed the land.

I didn't find Babu's grave. He died in 1996 and was buried somewhere in Zanzibar. Nor did I find my stepfather's roots.

But I did find, deep in a revolution that lasted 100 days and turns 50 this year, the answer to some of the big questions of our time.