Wednesday, 15 August 2007

Mbinu za Kizenj za Kusafirisha Mizigo...



Moja ya mambo niliyo yaona huko UK ni jinsi wazenj wanavyojitahidi kusafirisha malundo ya vitu vilivyotumika toka UK kwenda Zenj... Mazagazaga hayo ni kuanzia mafriji, mavideo(VHS), maprinter, mamonitor, makomputer, majiko ya umeme /gasi mabafu, vyoo, n.k.




Makontena ya size ya futi 40 ndio maalufu katika kusafirishia mazagazaga hayo.. ambayo mengine yapo katika hali mbaya sana kutumika zaidi ya kufaa kwa kutupwa tu.



Leo hii tuangalie jinsi ya kusafirisha magari matano katika kontena la futi 40......






















5 comments:

Aliko said...

wanabonyeza kizenji mdebwedo..

Simon Kitururu said...

Kasheshe!

Egidio Ndabagoye said...

Daah!

KakaTrio said...

I do not see anything wrong with using a 40 feet container to ship stuff they think would be useful in their home towns! How about some of us who are just doing nothing but drinking day in day out, lazy to work hard enough and champions of complaining of how TZ is not a great place despite the fact that we grew up there.

Sometimes you here Tanzanians saying nchi ile mie sirudi naogopa malaria, ujambazi, uchafu na mavumbi ukitembea mjini unaskia pananuka hakuna hata publis toileti. Please give me a break! If you are not gonna buy those stuff in the UK, you will buy them in TZ from those Zenjs you are ridiculing right now right here.

Aliko said...

maricha
elewa kichwa cha habari "mbinu za kizenji za kusafirisha mizigo.. there is nothing negative about that headline in the article... anyway kumbuka Zanzibar/afrika sio dumpo la matakataka used mazagazaga ambayo hayatakaa mwezi kabla kuharibika... muandishi ameeleza pamoja na yote unayoyaona wewe ya maana hilo kwanza tia akilini.