Kisiwa cha Zanzibar kimejaaliwa kuwa na kila aina ya vituko na migongano ya aina kwa aina... Kwa ufupi napenda kutoa maoni yangu juu ya vituko hivyo, aidha kujua wengine wanamtazamo gani kuhusu vituko hivyo...
Jamaa alipata safari ya kikazi kwenda Zanzibar, akaombwa akirudi arudi na spices za huko. Na aliporudi alirudi na chumvi pamoja na hicho kitambaa cha Holiday Inn
2 comments:
Bahati mbaya sijui kiFinn kwa hiyo sijaelewa kitu hapa....:-(
Jamaa alipata safari ya kikazi kwenda Zanzibar, akaombwa akirudi arudi na spices za huko. Na aliporudi alirudi na chumvi pamoja na hicho kitambaa cha Holiday Inn
Post a Comment