Monday, 29 September 2008

Wanafunzi na Mazingira...Case: Mwanza

Mazingira ya shule ya Msingi Igoma. Shule hii ina klabu ya mazingira ya wanafunzi na moja ya kazi zake ni kutunza mazingira ya shule hiyo.
Wanafunzi wa shule ya Msingi Kirumba wakiandaa shimo kwa ajili ya utengenezaji wa mbolea kwa taka za jikoni. Klabu ya Mazingira katika shule hiyo hujishughulisha na usafishaji wa mazingira katika kata yao ya Kirumba.


Uandaji wa mashimo kwa ajili ya kutengeneza mboji kutokana na taka za jikoni, katika shule ya Msingi Isenga

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Safi sana haya ndio maendeleo tunayoyataka sio wanafunzi kuuana nk. Kwani shule inapendeza halafu wanapata faida ya mbolea, labda tueneza jambo hili ktk shule nyingine TZ.