Kisiwa cha Zanzibar kimejaaliwa kuwa na kila aina ya vituko na migongano ya aina kwa aina... Kwa ufupi napenda kutoa maoni yangu juu ya vituko hivyo, aidha kujua wengine wanamtazamo gani kuhusu vituko hivyo...
Napenda kuwapa mkono wa idd wadau wote wa blog hii. Sikukuu njema
Haya Idd njema ndo unatukaribisha katika jengo hilo au?
Sawa mkubwa nasisi 2nakupeni nyote mkono wa idd wa2 wakipande hicho.
Post a Comment
2 comments:
Haya Idd njema ndo unatukaribisha katika jengo hilo au?
Sawa mkubwa nasisi 2nakupeni nyote mkono wa idd wa2 wakipande hicho.
Post a Comment