Kisiwa cha Zanzibar kimejaaliwa kuwa na kila aina ya vituko na migongano ya aina kwa aina... Kwa ufupi napenda kutoa maoni yangu juu ya vituko hivyo, aidha kujua wengine wanamtazamo gani kuhusu vituko hivyo...
Kwa wale waliofika Zenj na kunywa kahawa na kashata mitaani, kahawa hiyo sasa inapatikana kwenye makopo kwa matumizi ya nyumbani.
Posted by Kibunango at 15:20
No comments:
Post a Comment