Friday, 2 April 2010

Mzalendo.net waonja umuhimu wa Zanzibar


Nii baada ya kuandika pumba nyingi.....

4 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Unaweza kufafanua kidogo. Wameonjaje umuhimu wa Zanzibar? Wamepata misukosuko ama? Blogu nzuri...

Anonymous said...

huyu kibunango tunamjua, ni miongoni mwa wale wale..... wanaopenda kusema wakati hajui kitu. sasa tumerudi hewani sema jengine!

watila said...

Atafafanuwa ngoja amalize skuku au sio anko yupo kijijini sasa anko
roja kwako

SEDOUF said...

kibunango(kibushu) unanichekesha sana kichaa wangu.ukweli ni kuwa unataka umaarufu kupitia mambo usiyoyahamu.
MZALENDO.NET ni moto wa kuotea mbali na ni upupu kwa wale maadui wa ZANZIBAR. hasa majirani zangu hapo tanga-nyika.
IDUMU MZALENDO.NET