Mabaharia Wa Kizenj Mikononi Mwa Wasomali...
New Delhi - A cargo ship with 26 crew members including 11 Indians was hijacked by Somali pirates near the Seychelles, local media reports said Monday.
The vessel MV Rak Afrikana belonging to a United Arab Emirates company was seized by pirates en route to Zanzibar, India's Directorate-General of Shipping based in Mumbai said, the PTI news agency reported.
"We have received information that a general cargo ship with 26 crew members including 10 Tanzanians, five Pakistanis and 11 Indians has been hijacked near the Seychelles en route to Zanzibar on 11th April morning," a senior official from the directorate told PTI.
The ship is believed to have been taken to the Somali coast by pirates.
"The Directorate of Shipping is in contact with the managers of the vessel for regular updates and measures initiated for the early and safe release of the crew and vessel," the official added.
Somali pirates seized 11 vessels with over 120 Indians on board during the past fortnight.
Of them, five vessels have been released along with 67 Indians while an Indian sailor died during rescue operations by the navies of the US and Oman in which eight Indian sailors were rescued, the report said.
Repeated attacks on Indian vessels had also prompted the Indian government to issue a warning to owners of cargo vessels about the dangers, particularly along the sea-lanes of Salalah and Male.
The number of attacks by pirates in the Gulf of Aden and further out in the Indian Ocean in 2009 was almost double the 2008 figure, according to the International Maritime Bureau.
5 comments:
Wewe kibunango mbona unakua muongo hivi? hao mabaharia wa Kizenji walokua mikononi mwa wasomali wako wapi? lakini wewe unatafuta nini kwa Wazanzibar? kwa sababu habari zimeandikwa kwamba Watanzania na haijaainishwa kama kuna Wazanibari au Watanganyika sasa na wewe ilikua uandike hivyo hivyo kama "Mabaharia wa Kitanzania mikononi mwa Wasomali".
good day Mr Bloody lier.
Hiyo Meli MV Rak Afrikana ina wafanyakazi wa Kizenj... Ambao ni Watz.
Kwani wewe Kibunago si Mzanzibar? mimi ninavykufahamu ni mzanzibari sasa jee huyo naokuuliza uanwatakia nini wazanzibari anamaanisha nini? Wazanzibari si watanzania au wanzania si wanzanzibari?
mimi naona bado tuna safari refu sana, kama haya mambo ya kijingajinga hatujaacha.
Wewe mwenyewe unaonekana pia ni mjinga, Wazanzibari wanajuana kwa sura, na pia kwa majina hakuna Mzanzibari mwenye jina la Kibunango na wala Tanzania sio Zanzibar na kama unataka ushahidi wa hili refer kwenye sherehe za uhuru 09/12 kama sikosei hii tarehe ilitangaziwa kwamba Shrerehe za Uhuru wa Tanzania kutimiza miaka 48 sasa hapo huoni kama Tanzania na Zanzibar ni nchi tofauti kwani Zanzibar uhuru wake ni 10/12/1963.
Yeye alitakiwa kusema kama Mabaharia wa Kitanzania mikononi mwa Wasomali kama alivyoandika kwenye habari na si vyenginenyo, yeye kila siku Zanzibar hivi Zanzibar vile ujinga mtupu kama hana la kusema si bora azungumzie mambo ya kwao tabora huko.
Mimi nakubali sana ni mjinga na kukubali kwangu mimi maana yake na wewe ni mjinga vile vile, tena umo lile kundi la wajinga waliobaleghe shamba sio mjini. hizi blog hani lolote la kufanya kubadili mawazo ya watu wakaendelea , muda mwingi ni kuongea ujinga ujinga tu. Kubwa Dhana yenu Wapemba ndio Wanzanzibar wote hata wenye asili ya bara , msumbiji ,kongo arabuni na ngazija , tanga, ila mbara wa Unguja sio mzanzibar, huyu jina lake sio kibunango, humo ndani ya ma blog yote hakunamtu mwenye kutumia jina lake halisi hata ujinga huu bado umo kichwai mwako, angalia majina kwenye mzalendo utaona yale ndio majina ya kizanzibari. Pumbavu.......
Post a Comment