Kisiwa cha Zanzibar kimejaaliwa kuwa na kila aina ya vituko na migongano ya aina kwa aina... Kwa ufupi napenda kutoa maoni yangu juu ya vituko hivyo, aidha kujua wengine wanamtazamo gani kuhusu vituko hivyo...
kibunango(kibushu) unanichekesha sana kichaa wangu.ukweli ni kuwa unataka umaarufu kupitia mambo usiyoyahamu. MZALENDO.NET ni moto wa kuotea mbali na ni upupu kwa wale maadui wa ZANZIBAR. hasa majirani zangu hapo tanga-nyika. IDUMU MZALENDO.NET
4 comments:
Unaweza kufafanua kidogo. Wameonjaje umuhimu wa Zanzibar? Wamepata misukosuko ama? Blogu nzuri...
huyu kibunango tunamjua, ni miongoni mwa wale wale..... wanaopenda kusema wakati hajui kitu. sasa tumerudi hewani sema jengine!
Atafafanuwa ngoja amalize skuku au sio anko yupo kijijini sasa anko
roja kwako
kibunango(kibushu) unanichekesha sana kichaa wangu.ukweli ni kuwa unataka umaarufu kupitia mambo usiyoyahamu.
MZALENDO.NET ni moto wa kuotea mbali na ni upupu kwa wale maadui wa ZANZIBAR. hasa majirani zangu hapo tanga-nyika.
IDUMU MZALENDO.NET
Post a Comment