Kisiwa cha Zanzibar kimejaaliwa kuwa na kila aina ya vituko na migongano ya aina kwa aina... Kwa ufupi napenda kutoa maoni yangu juu ya vituko hivyo, aidha kujua wengine wanamtazamo gani kuhusu vituko hivyo...
Hizo hapo juu ndio lugha rasmi zinazotambuliwa na SMZ hapa kisiwani Zanzibar.. Mpangilio unaoonekana hapo juu, ni kutokana na uhumimu wa lugha hizo katika SMZ na wananchi wake kwa ujumla..
Posted by Kibunango at 22:06
4 comments:
Duh!
Mkuu unazishuka zote hizo?
Aah! wapi...
Baadhi tu ndio zinapanda
Hiyo ya mwisho ni lugha gani mkuu?
Nilifikiri utakuwa unaijua.. kwani ni ya hukohuko mitaa ya kwenu... Uhindini
Post a Comment