Kisiwa cha Zanzibar kimejaaliwa kuwa na kila aina ya vituko na migongano ya aina kwa aina... Kwa ufupi napenda kutoa maoni yangu juu ya vituko hivyo, aidha kujua wengine wanamtazamo gani kuhusu vituko hivyo...
Nimesikia kuwa Jeshi la Polisi lipo njiani kupiga mnada vyombo vyake vya usafiri vilivyochakaa! Sijui hii pikipiki kama bado kupigwa mnada pale Malindi Police Station
Posted by Kibunango at 14:31
No comments:
Post a Comment